Habari za Punde

Ufunguzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tibirinzi Pemba

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Ussi Gavu,Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe Balozi Ali Abeid Karume, Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe Hassan Hafidhi na Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF, Sabra Issa Machano wakiwa katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania linalofanyika Tibirinzi Mkoa Kusini Pemba

Baadhi ya Viongozi wanaoshiriki Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania linalofanyika Tibirinzi Mkoa Kusini Pemba
Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la tano la Diaspora Tanzania linafanyika Tibirinzi Mkoa Kusini Pemba
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Ussi Gavu, Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe Balozi Ali Abeid Karume, Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko, Mhe Hassan Khamis Hafidh na Katibu Mkuu Ofisi ya Ikulu, Salum Maulid wakiwa katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania linalofanyika Tibirinzi Mkoa Kusini Pemba

Picha zote na Idara ya Habari maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.