Habari za Punde

Vipaji Vya Watoto Vienziwe

IPO haja kwa Serikali Mapinduzi ya Zanzibar kutenga viwanja maalumu kwa ajili ya Michezo ya Watoto, ambao wameanza kuinukia katika michezo mbali mbali, Pichani mmoja ya watoto wa Kangagani akionyesha umahiri wake wa kupiga gema za Nyuma huku akiruka juu huku wenzake wakimtazama.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.