Habari za Punde

Viwanja Vya Kisasa vya Mao Zanzibar Vyakamilika Ujenzi Wake Kwa Asilimia 99.

Muonekano wa Viwanja Vya maMao Zanzibar baada ya kukamilika Ujenzi wake ukiwa na viwanja vya ndani na viwili vya mpira wa miguu vimekamilika ujenzi huo na kwa sasa iliobaki na hatua za umaliziaji wa maeneo na kufanya usafi ili kuweza kufikia tamati ya ujenzi huo uliofanya na Kampuni kutoka China.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.