Habari za Punde

Wachezaji wa Simba SC wakiwa Uwanja wa Ndege tayari kurejea Tanzania



Wachezaji pamoja na benchi la Ufundi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Atatürk uliopo jijini Istanbul, Uturuki tayari kwa safari ya kurejea nyumbani Tanzania.

 Picha zote na Rabi Hume, Istanbul - Uturuki.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.