Habari za Punde

Wapenzi waMchezo wa Mpira Wilayani Ruangwa Wakiwa Katika Foleni Kuinigia Uwanjani Wakati wa Ufunguzi wa Uwanja Huo

Nashabiki na Wapenzi wa Mchezo wa Soka Wilayani Ruangwa Mkoani Mtwara wakiwa katika foleni kuingia Uwanja kushuhudia Ufunguzi wa Uwanja huo kushuhudia mchezo wa Kirafiki Kati ya Simba Sc ya Jijini Dar es Salaam na Timu ya Namungo FC,Kwa Ajili ya Mchezo wa Ufunguzi wa Uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.