Habari za Punde

Michuano ya Tamasha la Elimu Bila Malipo Mchezo wa Basket Ball Kati ya Skuli za Sekondari za Haile Sellasie na Regeza mwendo Zimechuana Vikali Katika Uwanja wa Maisara Zanzibar.

Mchezaji wa Timu ya Haile Sellasie na Regezamwendo wakiwania mpira wakati wa kuaza kwa mchezo huo wa Kombe la Tamasha la Elimu Bila Malipo uliofanyika katika Uwanja wa Maisara Zanzibar. 
Timu hizo zimeonesha mchezo mzuri na wa kiwango cha hali ya juu kuonesha ufundi jinsi ya kupachika mabao kila upande.
Mchezaji wa Timu ya Skuli ya Sekondari ya Haile Sellasie Juma Abubakari, akimpita mchezaji wa Timu ya Sekondari ya Regeza Mwendo Rashid Shauri wakati wa mchezo wao wa Robo Fainali ya Michuano ya Mpira wa Mikono Michuano ya Elimu Bila ya Malipo mchezo uliofanyika Uwanja wa Maisara Zanzibar.
 Mchezaji wa Timu ya Skuli ya Sekondari ya Haile Sellasie Juma Abubakari, akimpita mchezaji wa Timu ya Sekondari ya Regeza Mwendo Rashid Shauri wakati wa mchezo wao wa Robo Fainali ya Michuano ya Mpira wa Mikono Michuano ya Elimu Bila ya Malipo mchezo uliofanyika Uwanja wa Maisara Zanzibar
Mchezaji wa Timu ya Sekondari ya Regezamwendo Salum Bakari akimpita mchezaji wa Timu ya Skuli ya Sekondari ya Haile Sellasie Maktuba Mahmoud wakati wa mchezo wao wa Robo Fainali ya Michuano ya Mpira wa Mikono Michuano ya Elimu Bila ya Malipo mchezo uliofanyika Uwanja wa Maisara Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.