Habari za Punde

Usafin wa Mazingira ya Biashara ni Muhimu Kuwavutia Wateja Wako Wanaofika Kupata Huduma.

Mfanyabiasha ra Marikiti Kuu Darajani Zanzibar akiwa katika zoezi la kufanya usafi katika eneo lake la biashara katika marikiti kuu maarufu Visiwani Zanzibar.hufika wananchi wa aina mbalimbali kupata mahitaji yao ya matunda na mbogamboga katika marikiti hiyo.
Usafi na mazingira mazuri ndio kivutio cha biashara yako na kuwavutia wateja wako na wananchi kwa ujumla.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.