MRATIBU kutoka shehia ya Kiwani Mwanaidi Vuale Hatib akielezea baadhi ya chanagamoto zinazowakabili katika kazi zao za kila siku katika mkutano wa kujadili harakati za kupiga vita vitendo vya udhalilishaji wilaya ya mkoani uliofanyika katika banda la ZSTC Mtambile.
MRATIBU wa shehia ya Mtambile Salma Haji Makame akitowa maoni katika mkutano wa kujadili harakati za kupiga vita vitendo vya udhalilishaji wilaya ya Mkoani uliofanyika katika banda la ZSTC mtambile
WARATIBU wa shehia katika Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba wakiwa katika Mkutano wa kujadili harakati za kupiga vita vitendo vya udhalilishaji wilayani humo uliofanyika katika banda la ZSTC Mtambile
No comments:
Post a Comment