Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar, Hassan Khamis Hafidh akifungua warsha. Kushoto ni Daniel Mbaga kutoka makao makuu ya NMB DSM, Wapili kulia ni Meneja wa NMB Tawi la Zanzibar, Abdalla Duchi na Ofisa uhusiano wa NMB Bank, Batuli Suna.
Meneja wa NMB Tawi la Zanzibar, Abdalla Duchi akitoa cheti kwa mmoja wa mawakala washiriki wa warsha hiyo jana.
Mawakala wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa warsha.
Mawakala wakipata chakula baada ya warsha.
Picha na Martin Kabemba
No comments:
Post a Comment