Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba

Balozi Sdeif akisalimiana na Madaktari na baadhi ya mabingwa wa Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Abdullah Mzee Mkoani alipofika kukagua uwajibikaji wa Madaktari katika utoaji huduma bora za Afya kwa Wananchi.

Mkuu wa Maabara ya Hospitali ya Abullah Mzee Mkoani Dr. Mohamed Mjaka akimueleza Balozi Seif  mtiririko wa majukumu yao ya kila siku katika kuwahduumia Wananchi wanaofika  kupata huduma za Afya.
Mkuu wa Hospitali ya Abdulla Mzee Mkoani akimkaguza Balozi Seif sehemu mbali mbali za Vitengo vya Hospitali hiyo ili kujiridhisha na huduma zinazotolewa.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiuonya Uongozi wa Wuizara ya Afya kumuwajibisha mtendaji au Kiongozi ye yote wa Wizara hiyo atakayeendelea kuzembea kununua Vifaa vya kupozea umeme kwa Maabara ya Hospitali ya Rufaa ya Abdullah Mzee Mkoani alipofanya ziara fupi.
Makabu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akimjulia hali Bibi Amina Abass aliyelazwa Hospitali ya Rifaa ya Abdullah Mzee Mkoani baada ya kupata ajali ya gari ukiwa ni utaratibu wake wa kawaida kwa baadhi ya siku kufanya hivyo.Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.