Habari za Punde

Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna Liberatus Sabas Akiongea na Askari Wilayani Liwale Kabla ya Kwenda Kusimamia Uchaguzi Mdogo wa Mbunge.

 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akipokea taarifa ya Askari watakao simamia Uchaguzi Mdogo wa Mbunge utakaofanyika mkoani Lindi wilaya ya Liwale Jimbo la Liwale siku ya kesho Jumamosi tarehe 13.10.2018 kutoka kwa Kamanda wa Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi  ACP Pudensiana Protas Kokuberwa. 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi  ACP Pudensiana Protas Kokuberwa akiongea na Askari Wilaya ya Liwale mkoani humo kabla yakwenda kusimamia Uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018
 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akiongea na Askari wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi  kabla yakwenda kusimamia uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi

Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akiongea na Askari wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi  kabla yakwenda kusimamia uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018
 (Picha na Jeshi la Polisi).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.