Jengo Jipya la Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Ungaja linalojenga katika eneo hilo klama linavyoonekana katika mchoro wake linavoonekana picha ndivyo litakavyokuwa baada ya kukamilika ujenzi wake huo unaojengwa na Kampuni ya World Class Engineering Contractar Ltd.linalojengwa katika eneo la Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Muonekano wa Eneo la Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja
Ujenzi wa Jengo jipya la Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja likiwa katika ujenzi wake ukiendelea.
No comments:
Post a Comment