Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh Saud bin Saqr Al Qasimi akiagana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo wakati alipokuwa akiondoka Nchini baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili
Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh Saud bin Saqr Al Qasimi akikagua kikosi cha Gwaride la heshma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo wakati alipokuwa akiondoka Nchini baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili
Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh Saud bin Saqr Al Qasimi akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU)katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo alipokuwa akiondoka Nchini baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili,[Picha na Ikulu.] 24/10/2018.
No comments:
Post a Comment