Habari za Punde

Sabry Ramadhani Mzee (CHINA) Awania Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Kupitia Chama Cha ADA-TADEA Achukua Fomu leo.Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Jangombe Zanzibar Bi. Mwanapili Khamis Mzee, akimkabidhi Fomu ya Kugombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Sabry Ramadhani Mzee (CHINA) kugombea Uwakilishi kupitia Chama cha ADA TADEA, akishuhudia Katibu Mkuu wa ADA -TADEA Mhe. Juma Ali Khatib, hafla hiyo ya uchukuaji wa Fomu ilimefanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Zanzibar. 
Katibu Mkuu wa Chama cha ADA TADEA Mhe. Juma Ali Khatib akiwa na Mgombea Uwakilishi kupitia Chama hicho Ndg. Sabry Ramadhani Mzee (CHINA ) wakati wakiwasili katika viwanja vya Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar kwa ajili ya uchukuaji wa Fomu ya kuwania Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Chama cha ADA TADEA Mhe. Juma Ali Khatib akiwa na Mgombea wa Nafasi ya Uwakilishi kupitia Chama hicho Ndg Sabry Ramadhani Mzee (CHINA) wakiwasili katika viwanja vya Ofisi ya Tume ya Uchaguzi ya Wilaya ya Mjini Maisara Zanzibar kwa ajili ya uchukuaji wa Fomu ya Kugombea nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Jangombe Zanzibar Bi. Mwanapili Khamis Mohammed akitowa maelezo ya Fomu za kugombea Uwakilishi katika Uchaguzi Mgodo wa Jimbo la Jangombe kabla ya kumkabidhi Mgombea wa Chama cha ADA TADEA Ndg Sabry Ramadhani Mzee (CHINA) hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Zanzibar Maisara. 

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Jangombe Zanzibar Bi. Mwanapili Khamis Mzee, akimkabidhi Fomu ya Kugombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Sabry Ramadhani Mzee (CHINA) kugombea Uwakilishi kupitia Chama cha ADA TADEA, akishuhudia Katibu Mkuu wa ADA -TADEA Mhe. Juma Ali Khatib, hafla hiyo ya uchukuaji wa Fomu ilimefanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.