Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aendelea na Ziara yake Mkoani Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Marry, akikagua mradi wa maji Kongwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018 kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Deo Ndejembi na kulia ni Mkuu wa Mkoa Dodoma Binilith Mahenge
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mhandisi wa maji Wilaya Kongwa Kaitaba Lugakingira, wakati akikagua mradi wa maji wa Kongwa mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Marry, akikagua mradi wa maji Kongwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018 kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Deo Ndejembi na kulia ni Mkuu wa Mkoa Dodoma Binilith Mahenge
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mhandisi wa maji Wilaya Kongwa Kaitaba Lugakingira, wakati akimuonesha kisima cha maji kwenye mradi wa maji wa Kongwa mkoani Dodoma
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi baada ya kukagua mradi wa maji wa Kongwa mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa daraja kwenye barabara ya Mbande - Kongwa mkoani Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mashine za kukamulia mafuta ya alizeti, wakati alipotembelea kiwanda cha Com Food Products kilichopo wilayani Kongwa Dodoma, Oktoba 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.