MKUU wa Idara ya
Misitu na mali zisizorejesheka Pemba, Saidi Juma akimpatia malezo juu ya
maenedeleo ya eneo la idara ya misitu, kaimu waziri wa Wizara ya Kilimo
Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar,ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara maalumu za SMZ Haji Omar Kheri, wakati
alipokua akikagua maendeleo ya maonyesho ya siku ya Chakula Duniani huko katika
eneo la Chamanangwe Wilaya ya Wete
ENEO la Idara ya
mistu na mali zisizorejesheka ambalo limepandwa miti mbali mbali ya asili,
ikiwemo migomba kofi, mipilipili doria, michenza mwitu, msaji na miti mengine
adimu ambayo imeanza kutoweka, likiwa katika eneo la maonyesha ya siku ya
chakula duniani huko Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
KAIMU Waziri wa
Wizara ya Kilimo Maliasili mifugo na Uvuvi Zanzibar, ambaye ni waziri wa Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa na idara maalumu za
SMZ Zanzibar Haji Omar Kheir akiangalia moja ya miti ya asili mvule ambao
umeanza kutoweka
MKUU wa Idara ya
misitu na mali zisizorejesheka Pemba Said Juma, akimpatia maelezo juu wa eneo
la wanyama, kaimu waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasli Mifugo na Uvuvi Zanzibar
ambaye ni Waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir, wakati alipotembelea eneo hilo
lililomo ndani ya maonyesho ya siku ya chakula duniani huko Chamanangwe Wilaya
ya Wete
MKUU wa Idara ya
misitu na mali zisizorejesheka Pemba Said Juma, akimpatia maelezo, kaimu waziri
wa Wizara ya Kilimo Maliasli Mifugo na Uvuvi Zanzibar ambaye ni Waziri wa
Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara
maalum za SMZ Haji Omar Kheir, juu ya utumiaji wa majiko sanifu, wakati
alipotembelea eneo la maonyesho ya siku ya chakula duniani huko Chamanangwe
Wilaya ya Wete
MKUU wa Idara ya
misitu na mali zisizorejesheka Pemba Said Juma, akimpatia maelezo juu nyumba ya
asili ya iliyojengwa kwa udongo na makuti, kaimu waziri wa Wizara ya Kilimo
Maliasli Mifugo na Uvuvi Zanzibar ambaye ni Waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya
Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar
Kheir, wakati alipotembelea eneo maonyesho ya siku ya chakula duniani huko
Chamanangwe Wilaya ya Wete
MKUU wa Idara ya
misitu na mali zisizorejesheka Pemba Said Juma, akimpatia maelezo juu ya ujenzi
wa nyumba za mawe kwa kutumia mchana na chokaa, kaimu waziri wa Wizara ya
Kilimo Maliasli Mifugo na Uvuvi Zanzibar ambaye ni Waziri wa Wizara ya Nchi
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji
Omar Kheir, wakati alipotembelea eneo la maonyesho ya siku ya chakula duniani
huko Chamanangwe Wilaya ya Wete.
KAIMU waziri wa
Wizara ya Kilimo Maliasli Mifugo na Uvuvi Zanzibar, ambaye ni Waziri wa Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara maalum za
SMZ Haji Omar Kheir, akizungumza na waandishi wa habari kutoka Vyombo mbali
mbali vya habari Kisiwani Pemba, kuelekea siku ya maonyesho ya chakula duniani
huko Chamanangwe Wilaya ya Wete
KAIMU waziri wa
Wizara ya Kilimo Maliasli Mifugo na Uvuvi Zanzibar, ambaye ni Waziri wa Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara maalum za
SMZ Haji Omar Kheir, akizungumza na waandishi wa habari kutoka Vyombo mbali
mbali vya habari Kisiwani Pemba, kuelekea siku ya maonyesho ya chakula duniani
huko Chamanangwe Wilaya ya Wete
MWANDISHI wa Habari Mwandamizi wa shirika la Utangazaji Zanzibar
ZBC TV Pemba, Raya Ahmad akiuliza swali wakati wa kikao cha kaimu waziri wa
kilimo Zanzibar na waandishi wa habari kuelekea siku ya chakula duniani.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment