Habari za Punde

Ujamaa Sports Clum Mabingwa wa Bonaza la Ujamaa Baada ya Kuifunga Timu ya Mlandege Katika Mchezo wa Fainali Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kwa Ushindi wa Bao 1-0.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Bonaza la Tamasha la Maadhimisho ya Miaka 61 ya Klabu ya Ujamaa Zanzibar kutimiza Miaka 61 Tangu kuazishwa kwake mwaka 1957, Baada ya kuifunga Timu ya Mlandege katika mcxhezo wa Fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Ujamaa imeshinda kwa bao 1-0.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiwavisha medeli ya Dhahabu Wachezaji wa Timu ya Ujamaa Sports Club baada ya kuifunga Timu ya Mlandege katika mchezo wa Fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa bao 1-0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.