Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Mohammed Raza Darams Akimpongeza Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Kwa Utendaji Wake Mzuri.

Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Mohammed Raza Darams akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Serikali na Binafsi kuhusiana na Uongozi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli. mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar. 
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Mohammed Raza Darams akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar. akimpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kutokana na Uongozi wake mzuri.mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.