Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Chuoni na Polisi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu ya ChuoniImeshinda Bao.3-1.

Mshambuliaji wa Timu ya Chuoni akimpita beki wa Timu ya Polisi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Chuoni imeshinda bao 3 -1.
Wachezaji wa Timu ya Polisi na Chuoni wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Chuoni imeshinda mchezo huo bao 3 -1, uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.tarehe 8/11/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.