Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,Azungumza na Rais wa Seychelles Mhe.Danny Faure Jijini Nairobi Kenya.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto akiwa na Ujumbe wake akizungumza na Rais wa Seychelles Mhe. Danny Faure, kulia akiwa na ujumbe wake katika mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobo Kenya.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Ujumbe wake kushoto akimsikiliza Rais wa Seychelles Mhe. Danny Faure,wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Continental Jijini Nairobi Nchini Kenya, kuzungumzia uhusiano wa Nchi hizo mbili. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika mkutano na Rais wa Seychelles Mhe. Danny Faure,mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Kenya, kushoto Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dkt. Pindi Chana na kulia Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma,Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr. Sira Ubwa Mwamboya na Mshauri wa Rais Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa Uchumi na Fedha Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia. mkutano  
Rais wa Seychelles Mhe.Danny Faure akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Kenya.akiwa na Ujumbe wake wakifuatilia mazungumzo hayo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.