Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumzi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazingira Bi. Joyce Msuya Jijini Nairobo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazingira Bi. Joyce Msuya,kabla ya kuaza mazungumzo yao yaliofanyika Hoteli ya Jinter Continental Jijini Nairobi Nchini Kenya.kushoto Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dkt. Pindi Chana.
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Balozi Dkt. Pindi Chana akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazingira Bi. Joyce Msuya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Inter Continental Nairobi Nchini Kenya.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazingira Bi. Joyce Msuya, yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Nchini Kenya.
Ujumbe wa Tanzania wakifuatilia mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko picha akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa UN Mazingira Bi. Joyce Msuya,yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Nchini Kenya. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kulia akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazingira Bi. Joyce Msuya,kushoto akiwa na Ujumbe wake.uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Nchini Kenya. 
Ujumbe wa Tanzania alioongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatilia mkutano huo uliofanyika Hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Kenya.na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazingira Bi, Joyce Msuya.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazinira Bi. Joyce Msuya,akiwa na Ujumbe wake wakati wa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Nchini Kenya. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazingira Bi. Joyce Msuya, wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Nchini Kenya.   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia jambo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazingira Bi. Joyce Msuya, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Nchini Kenya. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN Mazingira Bi. Joyce Msuya, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.