Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Aongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui leo.11/12/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wazazi Zanzibar Mhe. Najma Giga, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar. katikati Makamu Mwenyekiti wa Wazazi Mhe.Abdallah Haji Haidar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Kiongozi wa CCM Zanzibar Mwalim Kombo, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar iliokutana leo chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk Ali Mohamed Shein.   
Wajumbe wa Mkutano wa Kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, wakiwa wamesimama wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuongoza Kamati Maalum ya CCM Zanzibar leo. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM pia na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Sadalla Mabodi wakiwa wamesimama wakiupiga makofi baada ya kuingia katika ukumbi wa mkutano huo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Sadala Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kufungua Mkutano wa kawaida wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kilichoka leo Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. 
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar wakipitia makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Kikao cha Kamati Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Sadalla Mabodi. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Kikao cha Kamati Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo uliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. 
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo uliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. 
Mjumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar Mhe Jamal Kassim , akifuatilia ajenda wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho kilichokuwa Chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. 
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar wakipitia makabrasha wakati wa mkutano katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.