Habari za Punde

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA UPANUZI WA BARABARA YA MOROGORO KUANZIA KIMARA – KIBAHA YENYE UREFU WA KM 19.2 ITAKAYOJENGWA NJIA NANE KWA KIWANGO CHA LAMI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akitoa maelezo ya mradi wakati wa hafla  ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 .Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam.Desemba 19,2018. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.