Habari za Punde

Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viana na Wenye Ulemavu, Stella Ikupa akizungumza na Mbunge wa Mtambile, Masoud  Abdallah Salim, Bungeni jijini Dodoma. 
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Mwibara, Kangi  Lugola, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Mwanne Nchemba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama (wapili kulia), Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako (kushoto), Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (wapili kushoto) na Mbunge wa Igunga,  Dkt. Dalaly Kafumu , kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama (wapili kulia), Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako (kushoto), Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (wapili kushoto) na Mbunge wa Igunga,  Dkt. Dalaly Kafumu , kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 30, 2019.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.