Habari za Punde

Uzinduzi wa Kituo cha Afya na Nyumba ya Daktari Kijiji cha Sizini Wilayaya Micheweni Pemba.

Jengo la nyumba ya kulala madaktari huko Sizini Wilaya ya Micheweni ambayo imefunguliwa ramsi na Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume ,ikiwa ni shamrashamra za kusherekea kutimia miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAZIRI wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa afya katika kituo cha afya Sizini Wilaya ya Micheweni katika sherehe za kukifungua kituo hicho,ikiwa ni shamrashamra za kusherekea kutimia miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAZIRI wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume
akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa afya katika kituo cha afya Sizini Wilaya ya Micheweni katika sherehe za kukifungua kituo hicho,ikiwa ni shamrashamra za kusherekea kutimia miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAZIRI wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume akiwaongoza viongozi na wananchi waliofika katika ufunguzi wa kituo cha afya Sizini Wilaya ya Micheweni kuimba wimbo wa “sisi sote’wakati wa ufunguzi wa kituo cha afya pamoja na nyumba ya kulala daktari huko Sizini ikiwa ni shamrashamra za kusherekea kutimia miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

WAZIRI wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume,akizungumza na viongozi na wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa kituo cha afya na nyumba ya kulala daktai huko Sizini Wilaya ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za kusherekea kutimia miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Wananchi wa Shehia ya Sizini na vitongoji vyake wakimsikiliza Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume kwenye ufunguzi wa kituo cha afya na nyumba ya kulala daktari huko Sizini Wilaya ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za kusherekea kutimia miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Wananchi wa Shehia ya Sizini na vitongoji vyake wakimsikiliza Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume kwenye ufunguzi wa kituo cha afya na nyumba ya kulala daktari huko Sizini Wilaya ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za kusherekea kutimia miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  (Picha na Zuhura  JUMA - Pemba.).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.