Habari za Punde

Katibu Mkuu jumuiya ya Wazazi ya CCM ziarani kisiwani Pemba

Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi Taifa, Edmund B.Mdolwa, akizunzungumza na baadhi ya Viongozi wa jumuiya hiyo wakati wa ziara yake ya kikazi Kisiwani Pemba. 
Picha na Jamila Abdalla -Maelezo Pemba. 
 Katibu mkuu wa Jumuiya ya wazazi Taifa, Edmund B.Mdolwa, akivikwa Skafu na Vijana wa CCM Kisiwani Pemba, baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha Karume Pemba, kwa ajili ya ziara ya kikazi. 
Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi Taifa, Edmund B.Mdolwa, akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha Karume Pemba kwa ziara ya kikazi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.