Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Eneo la Uchimbaji Mchana Selemu Finya Wiala ya Micheweni Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea eneo ya uchimbaji wa mchanga Selemu Finya Wilaya ya Micheweni Pemba, akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini na Kusini Pemba.
Eneo la uchimbaji wa mchanga katika Kijiji cha Selemu Finya Wilaya ya Micheweni Pemba linalochimbwa mchanga katika kisiwa cha Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Maliasili, Mifugo na Uvuvi Bi. Maryam Juma Mabodi, akitowa maelezo ya kitaalam ya uchimbaji wa mchanga katika eneo la Selem Finya wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.