Habari za Punde

Uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Michezani Wilaya Mkoani Kisiwani Pemba.

Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari ya Michezani Kisiwani Pemba Wilaya ya Mkoani, iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi mbalimbali katika Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba kulia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.