Habari za Punde

Wasanii wa Kikundi cha Band ya Wamwidura Band Kutoka Mbeya Wakilishambulia Jukwaa la Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar katika Viwanja Vya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar.

Wasanii wa Bandi ya Wamwidura kutola Mkoani Mbeya wakitowa burudani katika Jukwaa la Sauti za Busara Zanzibar katika viwanja vya Mambo Club Ngome Kongwe Forodhani Zanzibar, wakati wa Onesho hilo la Sauti za Busara linalofanyika katika viwanja vya Bustani ya Forodhani na Ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.