Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wac Tanzinia Mhe. Kassim Majaliwa Akutana na Watendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Zao la Michikichi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji pamoja na watendaji wa Taasisi ya Utafi wa zao la Michikichi alichokiitisha kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Februari 8, 2019.  Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki na kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji pamoja na Watendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Zao la Michikichi,  alichokiitisha kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Februari 8, 2019.  Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki na kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi. Wapili kulia ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga  na kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.