ASKARI wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) ofisi ya Pemba, wakishirikiana na madaktari wa Hospitali ya Chake Chake katika ufanyaji wa usafi kwenye hospitali hiyo, ikiwa ni shamra shamra za kutimiza miaka 42 tokea kuasisiwa kwa jeshi hilo
MADAKTARI wa Hospitali ya Chake Chake kitengo cha Usingizi, wakizoa taka ambazo zimekusanywa na askari wa JKU Pemba ,wakati wa ufanyaji wa usafi katika Hospitali hiyo, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha miaka 42 tokea kuasisiwa kwa jeshi hilo.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment