Habari za Punde

JKU Pemba ilivyoadhimisha miaka 42

 WASHIRIKI wa mchezo wa ulaji wa tikiti kwa upande wa wanaume wakila tikiti huko katika Kambi ya Jku Msaani Pemba (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN,PEMBA)
    
MSHINDI wa zoezi la ulaji wa tiki kutoka Afisi kuu Jku Yussuf Dadi Juma, akionesha ganda la tikiti baada ya kumaliza na kuchukua nafasi ya kwanza kwa wanaume huko katika Kambi ya Jku Msaani ikiwa ni maadhimisho ya kuanzisha kwa jeshi hilo.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)
 WASHIRIKI wa mchezo wa ulaji tikiti kwa wanawake wakiwa katika mchezo huo, ikiwa ni miongoni mwa sherehe za kutimia miaka 42 ya kuanzishwa kwa Jku huko katika Kambi ya Jku Msaani Pemba.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
 MSINDI wa shindano la ulaji wa tikiti kutoka Jku Msaani, Suria Abdalla akinyanyua ganda baada ya kumaliza kula tikiti,huko katika Kambi ya Jku Msaani PEMBA.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN. PEMBA)
 Koplo Salma Talib kutoka Kambi ya Jku Msaani Pemba, akinyanyua kifuu juu kuashiria kumaliza kwa zoezi la ukunaji wa nazi, katika maadhimisho ya miaka 42 ya kuanzishwa kwa Jku, ambapo sherehe hizo zilifanyika katika Kambi ya Jku Msaani Pemba. (PICHA NA SAI ABDULRAHMAN. PEMBA)
Washiriki wa shindano la ukunaji Nazi wakiwa katika mchezo huo, ikiwa sherehe za kutimiza miaka 42 ya kuanzishwa Jku huko katika Kambi ya Jku Msaani Pemba.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.