Habari za Punde

Meli ya Sea Star 1 ikiwa Bandarini Wete

MELI  ya Sea Star 1 ikiwa katika bandari ya Wete Pemba,  baada ya kutokea hitilafu ya kuungua swichi Box katika mashine ya meli hiyo, nakushindwa kufanya safari zake kwenda Kisiwani Unguja. (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN. PEMBA), 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.