Habari za Punde

JKU yatimiza miaka 42

 WAPIGANAJI wa Jeshi la Kujenga Uchumi JKU Pemba wakimsikiliza Mkuu wa Jku zoni ya Pemba luteni Kanali Hamran Mwalimu Hamran katika kilele Cha maadhimisho ya miaka 42 ya kuanzishwa kwa jeshi hilo huko katika Kambi ya Jku Msaani.(PICHA NA SAID ABDURAHMAN. PEMBA)
MKUU waJKU zoni ya Pemba luteni Kanali Hamran Mwalimu Hamran akizungumza na Wapiganaji wa Jku katika maadhimisho ya miaka 42 ya kuanzishwa kwa jeshi hilo katika kiwanja Cha JKU Msaani (PICHA NA SAID ABDURAHMAN. PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.