Habari za Punde

Mafunzo ya Saikolojia kwa wadau wa mapambano dhidi ya udhalilishaji yafanyika Zanzibar

 Naibu Waziri wa Afya Harusu Saidi Suleiman akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya siku Tano ya Saikolojia kwa Wadau wa Mapambano dhidi ya udhalilishaji  yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja.

 Mtoa huduma wa kitengo cha Mkono kwa Mkono Dk,Fatma Ali Haji akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Udhalilishaji katika ufunguzi wa Mafunzo ya siku Tano ya Saikolojia kwa Wadau wa Mapambano dhidi ya udhalilishaji  yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja.

 Muezeshaji wa Mafunzo Edwick Mapalala akitoa mafunzo ya Saikolojia kwa Wadau wa Mapambano dhidi ya udhalilishaji  yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja.
 Msaidizi Meneja Kitengo Shirikishi Afya ya Mama na Mtoto Dk Mtumwa Ibrahim akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi ili kuyafungua  Mafunzo ya siku Tano ya Saikolojia kwa Wadau wa Mapambano dhidi ya udhalilishaji  yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja.
Baadhi ya Wadau wa Mapambano dhidi ya Udhalilishaji waliohudhuria katika Mafunzo ya siku Tano ya Saikolojia yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.