Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Princess Sarah Zeid.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (katikati) pamoja na Mwakilishi Mkazi wa WFP Bw. Michael Dunford (kushoto) ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa maelezo ya viungo vya chai vya Zanzibar wakati wa kumkabidhi zawadi  Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (kushoto) ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.