Habari za Punde

Michuano ya Mpira wa Kikapu Ligi Kuu Kanda ya Unguja Kati ya Beit Rais na Rangers Uliofanyika Uwanja wa Maisara Zanzibar Timu ya Beit Rais Imeshinda Kwa Vikapu 77 - 43.

Mchezaji wa Timu ya Beit Rais akijaribu kumpita mchezaji wa Timu ya Rangers wakati wa mchezo wa Ligi ya Kanda ya Unguja uliofanyika katika Uwanja wa Maisara Zanzibar, Timu ya Beit Ras imeshinda mchezo huo kwa Vikapu.77 - 43. Ligi hiyo inaendelea katika uwanja huo kwa michezo mbalimbali. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.