Mama Maria Nyerere na akiwa na mgeni wake, mjane wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Napono Sokoine aliyemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam, jana. Wengine katika picha (kutoka kushoto) ni msaidizi wa Mama Maria, Wambura; Mbunge wa Viti Maalumu, Namelok Sokoine, Elysia Sokoine; na Ninai Sokoine. Mbuzi anayeonekana ni zawadi ya Mama Sokione aliyopelekea Mama Maria.
Mariam Ibrahim aungana na wanawake wa Pwani kufanya usafi Jimbo la Kibaha
Vijijini
-
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, leo Septemba
18 ameungana na Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Pwani katika zoezi la kufagia
viwa...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment