Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Afrika Mashariki Mchezo wa Netiboli Kati ya NIC na JKU Uwanja wa Gmykhana Zanzibar Timu ya NIC Imeshinda kwa Bao 58 -38.

Mchezaji wa Timu ya JKU ya Zanzibar akiwa na mpira akijiandaa kuoa pasi kwa mchezaji mwezaka wakati wa Michezo ya Kombe la Afrika Mashari mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja Timu ya NIC kutoka Uganda imeshinda mchezo huo kwa mabao 58 - 38.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.