Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mwanakwerekwe Abrahman Milao akiwakaribisha Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Magharib wakati walipotembelea Miradi ya Mfuko wa Maendeleo wa Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe.
Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Abdalla Ali Kombo akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Magharib wakati walipotembelea Miradi ya Mfuko wa Jimbo hilo.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Magharib Bw. Mgeni Mussa Haji akimuuliza swali Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Abdalla Ali Kombo kuhusu utekelezaji wa miradi ya mfuko wa Mbunge na Mwakilishi katika jimbo.
Picha Na Miza Othman - Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment