MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Omar Khamis Othaman, akifungua Kongamano la Kumuenzi Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi wa awamu ya kwanza, Marehemu
Sheikh Abeid Amani Karume, kongamano lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo
Chake Chake Pemba
AFISA Mdhamini Ofisi
ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg.Ali Salim Matta, akitoa maelezo mafupi
juu ya lengo la Kongamano la Kumuenzi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza
la Mapinduzi wa awamu ya kwanza, Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume kongamano
lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake Pemba.
NAIBU katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Ndg. Abdalla Hassan Mitawi akitoa
muhtaasari wa kongamano la Kumuenzi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la
Mapinduzi wa awamu ya kwanza, Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume kongamano
lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake Pemba
MKUFUNZI na mwalimu
wa chuo cha uwandishi wa habari Zanzibar, Ali Shaaban Juma akiwasilisha mada ya
wasifu wa Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume, katika Kongamano la Kumuenzi Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi wa awamu ya kwanza, Marehemu
Sheikh Abeid Amani Karume kongamano lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo
Chake Chake Pemba
Dkt Mohamed Seif
Khatib akiwasilisha mada ya Mtazamo wa Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume baada
ya Ukombozi wa Zanzibar, wakati wa Kongamano la Kumuenzi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi wa awamu ya kwanza, Marehemu Sheikh Abeid
Amani Karume kongamano lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake Pemba
WAKUU wa Vikosi vya
ulinzi na usalama kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa Kongamano
la Kumuenzi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi wa awamu ya
kwanza, Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume kongamano lililofanyika katika
ukumbi wa Makonyo Chake Chake Pemba
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa Kongamano la Kumuenzi Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi wa awamu ya kwanza, Marehemu
Sheikh Abeid Amani Karume kongamano lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo
Chake Chake Pemba.
(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment