Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar Yakabidhi Msaada wa Vyakula Kwa Vituo Vya Watoto Yatima na Wazee Kisiwani Pemba.

 MENEJA wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Tawi la Pemba, Ndg.Mohamed Shehe kushoto, akimkabidhi mfuko wa sukari Mkurugenzi Mtendaji  Ndg.Ali Adam wa kituo cha kulele mayatima cha Africa Muslim Agency, kilichpo mabaoni Shehia ya Furaha Wilaya ya Chake Chake, ikiwa ni miongoni mwa vitu mbali mbali walivyo vitoa kwa kituo hicho kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
MENEJA wa Benk ya watu wa Zanzibar PBZ Tawi la Pemba, Mohamed Shehe kushoto, akimkabidhi mafuta ya kula Mkurugenzi Mtendaji  Ali Adam wa kituo cha kulele mayatima cha Africa Muslim Agency, kilichpo mabaoni Shehia ya Furaha Wilaya ya Chake Chake, ikiwa ni miongoni mwa vitu mbali mbali walivyo vitoa kwa kituo hicho kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.