MAFUNDI wa Kampuni ya ujenzi ya TESEMA Dar es Salaam, kutoka Tanzania Bara ikiendelea na zoezi la ufungaji wa Taa za kuongozea magari katika barabara ya chakechake Kisiwani Pemba kama wanavyoonekana wakiendelea na kazi hiyo.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment