AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ndg.Ibrahim Saleh Juma, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuhamia katika jengo jipya la taasisi tatu za Serikali, lililofunguliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment