Habari za Punde

Innaalill Waina Illahy Rajiuun Msiba wa Mzee Ramadhani Abdalla Shaban.


Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa zinaeleza kwamba aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa Serikali ya Zanzibar Bwana Ramadhan Abdallah Shaaban amefariki dunia jana Magharibi katika Hospitali ya Agha Khan Jijini Dar es Salaam,alipokuwa alipatiwa matibabu.

Maziko yanatarajiwa kufanyika leo Kijiji kwao Uzini Wilaya ya Kati Unguja Mkoa wa Kusini leo,baada ya Sala ya Ijumaa.

Inna lillahi wainna ilayhi rajiun. Allah amlaze mahali pema peponi. Ameen

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.