Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 15, 2019. Katikati ni Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt.  Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.