Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi na Wanamichezi Katika Maziko ya Alikuwa Mwenyekiti wa ZFA Marehemu Ali Ferej Tamim Katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi B Unguja leomAA

Marehemu Ali Ferej Tamim aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira Zanzibar ZFA. Aliyefariki leo katika Hospitali ya Taifa ya Mnazi Mmoja alipokuwa amelazwa na kupa matibabu Mwenyenzi Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi Ameen 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi MheDk. Ali Mohamed Shein, Awaongoza Wananchi  na Wanamichezo Zanzibar katika maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira Zanzibar (ZFA) aliyefariki leo alfajiri katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi B Unguja leo na kuhudhuriwa na Wanamichezo na Viongozi wa Vyama vya Michezo Zanzibar.
Wananchi na Wanamichezo Kisiwani Zanzibar wakiwa katika maziko ya Marehemu Ali Ferej Tamim katika makaburi ya Mwanakwerekwe Visiwani Zanzibar Wilaya ya Magharibi B Unguja leo. 
Wananchi na Wanamichezo Kisiwani Zanzibar wakiwa katika maziko ya Marehemu Ali Ferej Tamim katika makaburi ya Mwanakwerekwe Visiwani Zanzibar Wilaya ya Magharibi B Unguja leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Ferej Tamim, katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi B Unguja leo.wakati wa maziko yake yaliofanyika katika makaburi hayo.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi  akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Ferej Tamim, katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi B Unguja leo.wakati wa maziko yake yaliofanyika katika makaburi hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Ferej Tamim, katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi B Unguja leo.wakati wa maziko yake yaliofanyika katika makaburi hayo.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe.Simai Mohammed Said, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Ferej Tamim, katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi B Unguja leo.wakati wa maziko yake yaliofanyika katika makaburi hayo.
Wananchi na Wanamichezo wa Zanzibar wakihudhuria maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira Zanzibar ZFA Marehemu Ali Ferej Tamin katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar Wilaya ya Magharibi B Unguja leo,
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.