Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Aifariji Familia ya Marehemu Juma Ali Juma Alipofika Nyumbani Kwao Kijichi Wilaya ya Magharibi A Unguja leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa mkono wa Pole kwa Wanafamilia ya Marehemu Juma Ali Juma, alipofika nyumbake kwake Kijichi Wilaya ya Magharibi A Unguja leo kuifariji familia hiyo kwa kuondokewa na mpendwa ndugu yao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali, wakati alipofika kutowa mkono wa pole na kuifariji familia hiyo leo, huko nyumbani kwao Kijichi Wilaya ya Magharibi A Unguja.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.