Habari za Punde


RISALA YA JUMUIYA WAAJIRI (ZANEMA) KATIKA KUADHIMISHA
SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MAY DAY)
1st May 2019

MHESHIMIWA MGENI RASMI,
RAISI WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI
MHESHIMIWA ALI MUHAMMED SHEIN

Mh. Mgeni Rasmi, kwa niaba ya Jumuiya ya Waajiri Zanzibar, naomba nitowe shukrani zangu za dhati, kwa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakzi Zanzibar (ZATUC) kwa kutualika katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani.

Pia naomba nitumie fursa hii kumpogeza Waziri wetu wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto, pamoja na Uongozi wake na wafanyakazi wake kwa jumla, kwa mashirikiano makubwa katika ule ule utatu wetu ambapo tumeshirikiana nao katika mambo mengi hasa yanayohusu Kazi na Ajira.

Naamini kwa utatu huo huo, Mh. Waziri Mouldline Castico katika Mkutano Mkuu wa ILO utakaofanyika nchini Switzerland Geneva, mwaka huu kutatua matatizo ya Waajiri na Wafanyakazi kuazia mwanzo mpaka mwisho hasa kutokana na agenda za mwaka huu juu ya:
1.    Kutimia miaka 100 tokea kuanzishwa kwa Shrikisho la Kazi Duniani
2.    Juu ya udhalilishaji wa kinjisia
3.   Mambo ya kazi na mikataba ya kimataifa na hatua zilizofikiwa.

Mh. Mgeni Rasmi, leo ni Siku ya Wafanyakazi Duniani. Si vibaya kwa sababu ya kukumbushana tu, kuwa miaka 130 iliyopita,  kule nchini Chicago Marekani, katika heka heka za kudai haki zao Wafanyakazi walipambana na Waaajiri wao ambapo watu kadhaa walipoteza maisha.

 Ni vizuri kukumbushana tu, ili Wafanyakazi na Waajiriwa leo wasiyarudie tena maafa yaliyotokea kwa karne moja na zaidi kule Marekani.
 
Kwa dunia ya leo Waajiri tunaamini suluhisho kubwa la pale tunapokosea na katika sehemu zetu za kazi, ni mazungumzo au majadiliano zaidi“ Social Dialogue” pamoja na kuangalia haki za kila upande.

Mh. Mgeni Rasmi, Leo katika kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani wafanyakazi wa Zanzibar kauli Mbiu yao inasema:

KUIMARIKA KWA UCHUMI KUENDANE NA KUONGEZEKA KWA MASLAH YA WAFANYAKAZI
Waajiri hawaoni kuwa kauli mbiu haina mashaka yoyote, lakini lazima tukubali kuwa kauli mbiu hii inamasharti, na masharti yake makubwa ni kukuwa na kuimarika kwa Uchumi.
Lakini kuimarika kwa Uchumi kunategemea na ukuzwaji wa uchumi wenyewe, na hapo kuna mkusanyiko wa mambo mengi. Suala la kujiuuliza 'Nimchangoganikilammojawetu , anaoutowakwakuinuauchumiwanchiyetu?'
Tunajuwakilammojawetuanajawabumkononi.Wafanyakaziwanajawabu, waajiriwanajawabu, wakulimawanajawabu, watoahudumawanajawabu. Kilammojawetuanajawabu, taasisizinajawabunaTaifalinajawabu la mchango wake katikakukuzauchumiwetu.
 UCHUMI
Mh. MgeniRasmi, maendeleoyauchumikatikawakatihuutulionaoyanakwendasambambanayaukuwajiwauchumiwenyewe. Maendeleoyakiuchumiyanahusisha mambo mengi, yakiwemokupandakwakiwango cha uwekezajinauzalishajipamojanamaendeleoyatechnologianahuduma, kuborekakwaviwangovyamaishank. Nadhanihapawafanyakazindipowalipopaangalia.
Lakini,kwaupandemwengine,tukumbuketunapozungumzauchumiunakuwatunazungumziamakusanyo. Ni kiletunachokusanyaaidhakutokananamauzo, kutozakodi, thamaniyabidhaa au hudumazinazozalishwandaniyanchikwakipindimaalum.          Ndiomaanakukuakwauchumikunapimwakwamaanapatolataifa (GDP) . Kwa sasauchumiwetuumekuwakwa 7.4% ingawalengoni 10% ifikapo 2020/25
Zanzibar kwaupande wake tunategemeazaidikukuzauchumiwetukwakupitiasektanyingizikiwemo:
·        kilimo
·        utalii, biasharanaviwanda
·        usafirishaji
·        mabanknk
Hivyobasikatikakukuakwauchumiwetukilammojaananafasiyake. Hilisi la mmoja. ( Cross cutting issue)
WAJIBU WA WAFANYAKAZI KATIKA KUKUA KWA UCHUMI
Mh. MgeniRasmi, pamojanakazikubwanawanazofanyawafanyakazi, nailiuchumiwetuukuwezaidinakuogezekapato la taifazaidinamasalahyaoyakuwezaidi,bado, wafanyakaziwaongezebidiinawasisahauwajibuwaoilihayomaslahwanayodaiyawemazurizaidi.
Wafanyakazilazimawahakikishekwamba:
1. Wanafanyakazikwabidiizaidi, kujali, kujitumanauzalendo, sehemuzaozakazi
2. Kuepukananavisingizionadharuravisivyokwishavyakutohudhuriakazini.
3. Kuwanauaminifuwahaliyajuu pale waajiriwaowanapowaamininawanapowapadhamanazakazi
4. Kujiepusha visa namikasavyakupelelekanikatikataasisivyakisheria (DHU) kwa mambo madogomadogoambayomuajirinamuajiriwa au vyamavyao au maafisakazi(labour officers) wanawezakuvitatua. Nachukuanafasihiikuwashauriwafanyakaziwakitengo cha Usuluhishiwajaribukuangaliauzitowamalalamikowanayoletewanawafanyakazinawaajirikatikakitengochao.


WAAJIRI TUNAAMINI
Mh. Waajiritunaaminiiliuchumiwanchiukuwezaidinamaslahyaongezekezaidikwasote,  kilammojawetuananafasiyakenawajibu wake katikataifahili. Si dhimayamuajiripekee, walaSerikaliwalavyamavyawafanyanyakzaipekeevinavyotakiwakuwajibika. Kilammojawetu, taasisizetunanchiinanafasiyakuchezakwamujibuwanafasiiliyopangiwa.
Serikaliikishirikiananawadauwote, inajukumuyakutuekeamifumomizurizikiwemo sera, sheria, mipangoendelevunataratibuzauzalishajinauwekezajiilimapatoyaongezekenamatumiziyajuilikanematokeoyake, hatimaesiwafanyakazitu, balikilammojawetuatafaidikanaukuuwajiwauchumiwetuwakiwemonawaajirivilevile.
NdiomaanaSerikaliikawekampangomzimaunaoitwa MKUZA no 111 2016-2020ukiwekamkazozaidijuuyamaeneomakubwa 3( clusters) iliuchumiwetuukuwezaidi
1. UkuwajiwaUchuminaupunguzajiumaskiniwakipato
2. kunyanyuwahalizawatunahudumazakijamii
3. kukuzademocrasianautawala bora

MWISHO
Waajiritunashauriiliuchumiukuwezaidinailimaslahyaongezekezaidi
1. Tunahitajimashirikianomakubwazaidibainayawaajirinawaajiriwanawadauwotewanaochangiakatikakuukuzauchumiwataifaletu.
2. Kuweponausalamasehemuzakazi( industrial harmony) ili uzalishaji uongezeke.)
3. Tunahitajiwadaukukaapamojanakujadili mambo yanayohusuutekelezajiwakazizetu (social dialogue.
4. Kilammojawetuajuwekuwatunamchangokatikakuzalishanakukuzauchumikwamaslahyawatuwotewanaochangiakatikakukuzauchumi.
5. Kuziangaliavizuri sera nasheriazetuzinazohusiananauwekezaji, kukuzauchumi,nahudumazakijamii,na pale ambapo tuna onakunakasoroyoyotetuparekebishekwamashirikianonawahusikawote.Zikiwemo:
§  SheriayaAjira no. 11, ya 2005
§  SheriayaUhusianoKazini no.1 ya 2005
§  Sheriayaya ZSSF no 2 ya 2005
§  SheriayaFidia no. 5 ya 2005
§  SheriayaAfyanaUsalamakazini no 8 ya 2005
§  Sheriayauwekezaji no 11 ya 2004 (Zanzibar investment and promotion  act )
§  SheriayaMamlakayaMafunzoyaAmali no 8yamwaka 2006naMarekebishoyakeyamwaka 2007, pamojanamatumiziyafedhaza SDL.
4. IngependezazaidikamakaulimbiuhiiyawafanyakaziwangaliongezanenomojatunayoikasomekaKUIMARIKA KWA UCHUMI KUENDANE NA KUONGEZEKA KWA MASLAH YA WAFANYAKAZI naWAAJIRI

Ahsantenikwakunisikiliza.
 Salahi Salim Salahi
MkurugenziMtendaji
JumuiyaYaWaajiri Zanzibar
(Zanzibar Employers Association) ZANEMA
Tel. +255 0242236921
Mobile: 0777424797
E-mail info@zanema.or.tz

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.