Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Michezo Utamanuni na Sanaa Ndg. Omar Hassan King akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya FA Nahodha wa Timu ya Malindi baada ya kushinda mchezo wao wa Fainali na Timu ya JKU uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
DK.SAMIA:WANANCHI WALIOPISHA UPANUZI UWANJA WA NDEGE KIGOMA WATALIPWA FIDIA
ZAO
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma
MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika Uchaguzi Mkuu mwaka
huu Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema fidia ...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment